Timu ya kunyanyua uzito au kwa lugha ya mtaani kunyanyua vyuma ya Russia imefungiwa kushiriki Rio Olympics katokana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu...Kati ya wanamichezo 387 wa Russia 272 ndio watakaoshiriki Olympics mwaka huu...Russia ilisumbua na thumb nzima sana za utumiaji wa madawa wakisaidiwa na Serikali yao...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar